Banjuka

Banjuka Lyrics

Best of Kenyan Local Classics 3  by Dna

Song  ·  3:27  ·  English

© 2018 Dope entertainment

Banjuka Lyrics

Yeah, yeah
DNA, Jomino of course, sawa

Ruka tu, ba-banjuka juu
Life ni fupi na mi′ sijifungi
Naweka shida chini natupa mikono juu
Ba-ba-ba-banjuka tu
Ba-ba-ba-banjuka tu
Ba-ba-ba-banjuka tu
Naweka shida chini natupa mikono juu
Ba-ba-ba-banjuka tu

Mi' na-come through niki-rap tu, ma one, two
Na kwenye club watu wana-dance tu
Jomino kwenye track, maajabu
Big wa theme, sauti ya dhahabu

Unatakaje ma′? We come tu
Bora sura ni nice, ni-nihisi I'm the bump fool
Najua nimewakwachu, najua leo lazima watu wabanjuke
Nichafuke kwani nini? Wanauliza tutasifu hepi mpaka lini?

Si' tunashida zetu tusikilize zako kwanini?
Wacha nishike drinks nikicheki warembo hivi
Tuangaliane, tusalimiane, hizo namba za simu ndio tubadilishane
Ni vile tumejuana leo tu, kwa hivyo leo tu, tutainuka tu, naku-

Ruka tu, ba-banjuka juu
Life ni fupi na mi′ sijifungi
Naweka shida chini natupa mikono juu (oh)
Ba-ba-ba-banjuka tu (eh)
Ba-ba-ba-banjuka tu (oh)
Ba-ba-ba-banjuka tu (eh)
Naweka shida chini natupa mikono juu (oh)
Ba-ba-ba-banjuka tu (ah)

Mamy tumejuana umenibamba niaje
Si twende hivyo unionjeshe mtaani?
Si uongo, iyo figure yako ni safi
Nikaribishe ndio sa′ nijue ni yaaje

Na siunajua leo nime-come na gari
Naenda far ilale ndani ya packing
Nimebonga mbaya? Malkia nisamehe
Ni venye hiyo keja inanishikishanga pepe

Nje na ndani kila kitu ni deadly
Lakini na-hope hainaga wageni wengi
Juu hii game ni poker sio soka
Story ya watu wengi kwa uwanja naogopa

Nikushoo sa' vile tuta-do (eh)
Izo vitu tutazikuta tu (eh)
Kladi na ma-sheets tukizitupa juu (eh, eh, eh, eh)
Umeniuma juu zimekushika, mm, sa′ (eh)

Ruka tu, ba-banjuka juu
Life ni fupi na mi' sijifungi
Naweka shida chini natupa mikono juu (oh)
Ba-ba-ba-banjuka tu (eh)
Ba-ba-ba-banjuka tu (oh)
Ba-ba-ba-banjuka tu (eh)
Naweka shida chini natupa mikono juu (oh)
Ba-ba-ba-banjuka tu (ah)

Ruka tu, ba-banjuka juu
Life ni fupi na mi′ sijifungi
Naweka shida chini natupa mikono juu (oh)
Ba-ba-ba-banjuka tu (eh)
Ba-ba-ba-banjuka tu (oh)
Ba-ba-ba-banjuka tu (eh)
Naweka shida chini natupa mikono juu (oh)
Ba-ba-ba-banjuka tu (ah)

Ruka tu, ruka tu, juka tu, banjuka tu
Ruka juu, ruka juu, juka juu, banjuka tu
Ruka juu, ruka juu, juka juu, banjuka tu (eh, eh, eh, eh)
Ruka juu, ruka juu, juka juu, banjuka tu (eh, eh, eh, eh)

Nimebonga mbaya? Malkia nisamehe
Ni venye hiyo keja inanishikishanga pepe (pepe, pepe)

Writer(s): Dna<br>Lyrics powered by www.musixmatch.com


More from Best of Kenyan Local Classics 3

Loading

You Might Like

Loading


3m 27s  ·  English

© 2018 Dope entertainment

FAQs for Banjuka